• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

HALMASHAURI YA MOSHI ONGEZENI KASI UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI

Posted on: November 22nd, 2022

 OR-TAMISEMI

Timu ya usimamizi  shirikishi kutoka idara ya huduma za Afya  Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali  za Mitaa imeishauri  timu ya uendeshaji  wa huduma za afya ( CHMT) Halmashauri ya Wilaya Moshi   kuongeza kasi katika ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri hiyo ili ujenzi ukamilike kwa wakati na huduma zianze kutolewa kwa wananchi.

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Huduma  za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii Dkt.Ntuli Kapologwe kwa niaba ya timu ya usimamizi shirikishi  22 Novemba 2022   baada ya kukagua utekelezaji  wa ujenzi huo na kubaini  kuwa kasi ya utekelezaji bado hairidhishi na ujenzi  upo nyuma ya muda wa utekelezaji.

Kwa upande wake mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  Dkt. Jairy  Khanga amemshauri mhandisi wa Halmashauri ya  Wilaya Moshi kuandaa mpango kazi wa utekelezaji ambao utaainisha  kazi zilizobaki na muda wa ukamilishaji ili kurahisisha utekelezaji.

Katika Halmashauri hiyo timu ya usimamizi  shirikishi kutoka OR-TAMISEMI  ilitembelea  ujenzi wa Kituo cha Afya cha Marangu HQ ambapo imeridhishwa na ubora wa majengo pamoja na  kasi ya   utekelezaji  na imetoa wito kwa  CHMT kuendelea kuimarisha usimamizi na kasi ya utekelezaji ili  ujenzi huo ukamilike ifikapo tarehe   22 Desemba 2022 kama ilivyopangwa.

Baada ya timu ya usimamizi shirikishi  kutembelea   na kukagua utoaji wa huduma katika Zahanati ya  Naibili iliyopo latika Halmashauri ya  Siha ,Diwani wa Kata ya  Makiwaru Ezekiel Lukumay ameiomba Serikali kuendelea  kushirikisha wananchi wakati wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo  ili kuleta umiliki na kuimarisha ulinzi.


Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 735160210

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.