• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

Posted on: March 30th, 2023

Asila Twaha, Nanyumbu

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Charles Mahera amewataka watendaji wote katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutunza vifaa  vya  afya  vilivyonunuliwa na Serikali ili viweze kudumu na kuweza kutoa huduma kwa jamii.

Ametoa kauli hiyo Machi 30, 2023 katika ziara ya kukagua utoaji wa huduma, miundombinu ya hospitali, vifaa na shughuli zinazoendelea katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Mangaka.

Amesema Serikali imenunua vifaa kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya ili kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii vikiwemo vifaa vya  x-ray mashine, ultrasound mashine na vyengine hivyo, kama watendaji na wasimamizi wanawajibu wa kuvitunza, kuvihudumia na kuhakikisha huduma zinazotolewa ziende sambamba na utoaji wa huduma bora kwa jamii.

“Mnafanya kazi ya mungu ni vizuri kauli zenu kwa wagonjwa ziwe nzuri Serikali inatambua umuhimu wenu na majukumu yenu”amesema Dkt. Mahera

Ametoa wito kwa watoa huduma za afya nchini kuendelea  kufanya kazi kwa weledi na uadilifu kwa kuwa Serikali inatambua changamoto zinazowakabili.

Dkt. Mahera amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto zilizopo kwenye sekta ya afya na amewataka kuhakikisha wanaweka   mifumo ya ukusanyaji wa mapato “GoTHomis” katika vituo vyote ili mapato hayo yaweze kusaidia  kuendeleza utoaji wa huduma bora za afya katika hospitali hizo.

Akitoa taarifa  Mganga Mkuu wa Halmashauri  Wilaya na  Nanyumbu  Dkt. Raphael Mhana ameishukuru Serikali kwa kuendelea kununua vifaa na vifaa tiba ili kuboresha sekta ya afya na kuiomba kuendelea kupunguza changamoto ya uhaba wa watumishi katika sekta ya afya.

Aidha, Dkt. Mhana amesema hospitali hiyo ni  kongwe katika Halmashauri hiyo, hivyo ameiomba  Serikali kuiangalia ili wananchi wa Halmshauri hiyo waweze kupata huduma muhimu na zinazojitosheleza.


Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 735160210

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.