• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

Dira na Dhima

Dira

 “Kuwa Taasisi ya Mfano nchini kwa kutoa huduma bora katika kushauri masuala ya kiuchumi na kijamii kwa wadau wake wote”.

 Dhima

“Kuimarisha mifumo ya Serikali za mitaa na kuratibu huduma maendeleo ya Jamii na za kiuchumi kwa wadau wetu kwa kutoa ushauri, huduma za kitaalam na kuelekeza mambo ya kisheria kwa wananchi wote wa mkoa wa Mwanza”.


Majukumu ya Sekretarieti ya mkoa

Kutafsiri sera,kuzijengea uwezo na kuzisaidia serikali za mitaa kutekeleza majukumu yake ya kijamii na kiuchumi na huduma za maendeleo na kuhakikisha kuwa kuna amani a utulivu katika mkoa.


Wajibu na Kazi

Wajibu na kazi za sekreatarieti ya mkoa ni mengi na yamekasmiwa kwa kila Klasta na Kitengo(section and Unit) .Kwa ujumla jukumu kubwa linalenga kumsaidia mkuu wa mkoa kama ifuatavyo:-


1.Kutekeleza kazi za serikali ndani ya mkoa.
2.Kusimamia utawala wa sheria mkoani
3.Kutoa mwelekeo wa jitihada katika kutekeleza sera mbalimbali mkoani.
4.Kuzishauri a kuzisaidia Serikali za mitaa kutekeleza mipango yake kwa lengo la kuleta maendeleo na kuodoa umaskini.
5.Kutekeleza kazi namajukumu mengine ya RS ya kisheria.


Majukumu ya kimaendeleo yanajumuisha usimamizi na tathmini,uwezo wa kiutawala wa kutekeleza kutoa huduma.Tathmini ya utoaji huduma inajikita kwenye kufikiwa kwa malengo na matokeo ya malengo hayo katika jamii.
 Majukumu ya kiutawala yana sehemu kuu tatu:-

1. Kulinda amani na utulivu katika mkoa ili wananchi watekeleze majukumu yao.
2. Kuziwezesha na Kuzisaidia Serikali za mitaa katika mkoa kutekeleza majukumu yake kwa kuzijengea mazigira bora ya kutekeleza     majukumu na wajibu wake.
3. Kuiwakilisha serikali kuu katika mkoa.


Majukumu ya kisera ya Mkoa ni pamoja na:

  • Kuhakikisha kuwa kuna hali ya  amani na utulivu Mkoani.
  • Kujenga na kuimarisha demokrasia  na utawala bora.
  • Kusimamia hifadhi ya mazingira na
  • Kusimamia vita dhidi ya UKIMWI na  Rushwa



Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 735160210

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.