• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

Posted on: March 13th, 2023

Na. Asila Twaha, TAMISEMI

Serikali imewataka wauguzi na wakunga kusimamia maadili na miiko ya kazi zao kwa kutoa huduma bora kwa jamii.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe  katika Ukumbi wa PSSSF Jijini Dodoma wakati  akifungua kikao  cha  wauguzi na wakunga katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Ameeleza kuwa ili  mgonjwa aridhike na huduma inayotolewa kwenye vituo vya afya ni vyema kushirikiana   kuanzia ngazi ya chini mpaka juu  lengo likiwa ni kutoa huduma bora  kwa jamii.

Amewataka kuendana na mahitaji ya watu wanaowahudumia kwa   kuwa  wanapokuja kupata huduma za kiafya wanaimani kupata huduma bora.

“mbali ya kujiiona ni waajiriwa unalipwa mshahara  lakini pia tuna fungu letu kwa mungu kazi ya uuguzi na ukunga ni ibada  niwashuauri tutekeleze majukumu yetu  kwa upendo na imani” amesema Dkt. Shekalaghe

Amewataka kuzingatia miiko na kufuata maadili ya kazi  zao kwa kuwa  itasaidia wagonjwa kuwa na  imani na huduma inayotolewa lakini watakua na imani na watoa huduma.

Ameeleza Serikali inatambua na kuthamini kazi  wanazozifanya na  pia   inajua uwepo wa   baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo Serikali itaendelea  kufanyia kazi .

Ametoa rai   kwa watendaji hao kuendelea kufanya kazi ikiwa wao ndio  wanaempokea mgonjwa kwa hatua ya awali mpaka kujua maendeleo yake.

Amewataka watendaji hao kufanya kazi kwa ushirikiano   ili kuweza kutoa huduma iliyokuwa bora kwa wananchi.

“pendaneni, shirikianeni ninyi mkishirikiana mtaweza kutoa huduma iliyobora sababu itakuwa mnafanya kazi kama wamoja”

Naye Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Ustawi wa Jamii  Ofisi ya Rais, TAMISEMI Bi. Amina Mfaki akimuakilisha Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe amewataka watendaji hao kuimarisha utoaji wa huduma bora za afya nchini.

Aidha, ametoa rai  kwa  viongozi wanatoka katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuendelea kusimamia  maadili ya kazi  ili kuepusha vitendo vinavyoweza kuharibu kazi na taswira ya kada hiyo.


Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • TAFITI KUFANYIKA KUHUSU LISHE DUNI KWA WATOTO

    February 28, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 785 144 377

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.