• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

Posted on: March 2nd, 2023

Na. Angela Msimbira, DAR ES SALAAM


SERIKALI imejipanga kuhakikisha tarafa zote za Mkoa wa Dar es Salaam zinakuwa na kituo cha afya ikiwa ni lengo la Rais Samia Suluhu Hassan la kusogeza huduma za afya kwa wananchi.



Hayo yamebainishwa Machi 1, 2023 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki wakati wa kukagua miundombinu ya afya katika Halmashauri ya Jiji la Dar-es-salaam, Mkoani Dar es Salaam.



Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo katika Sekkta ya afya kuhakikisha  tarafa zote  zinakuwa na uhakika  wa kuwa na kituo cha afya  kwa Dar es Salaam.



Kairuki amesema kwa upande wa kata ya Kinyerezi kupitia Halmashauri ya Jiji, Serikali imetoa takribani Sh. milioni 500 kwa ajili ya upanuzi wa zahanati ya Kinyerezi kwa lengo la kupandisha hadhi zahanati hiyo na kuwa Kituo cha afya na tayari majengo manne yamekamilika ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi.



Amesema kwa upande wa Kata ya Kimanga,  Serikalli imetenga Sh. milioni 140  kwa ajili ya ujenzi wa zahanati hiyo.



" Kwa Kata ya Bunyoka tutaanza na wodi ya wazazi pamoja na kliniki ya mama na mtoto lakini kutokana na miinuko tumewaelekeza wananchi kukaa na kushauri kuona kama majengo haya  yajengwe maeneo yaleyale au kupata eneo lingine."


Aidha, Kairuki amesema kuwa Kata ya Kiwalani imepelekewa Sh. milioni 500 na tayari majengo zaidi ya manne yanendelea kujengwa.



Amesema, Kata ya Segerea tayari Serikali imetenga Sh. milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Segerea na ujenzi unaendelea  kwa jengo la wazazi, maabara, upasuaji, mionzi na kufulia ambapo Sh. milioni 150 zimeongezwa kwa ajili ya kununulia vifaa tiba.


Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • TAFITI KUFANYIKA KUHUSU LISHE DUNI KWA WATOTO

    February 28, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 785 144 377

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.