Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais Tamisemi, Rasheed Maftah ameitaka mifumo inayokusanya taarifa za taarifa za ustawi wa jamii katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuungana na kuwa mfumo mmoja unaotoa taaarifa zote zinazohitajika katika kuhudumia watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Maftah ameyasema hayo wakati wa kikao maalum cha kuwapitisha wataalamu na wadau kwenye mfumo wa Ustawi wa Jamii wa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi (MVC-MIS) unaowezeshwa na Taasisi ya MEASURE Evaluation; Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa Reform OR-TAMISEMI mwishoni mwa juma lililopita.
Isome zaidi kupitia tovuti yetu ya Wazara www.tamisemi.go.tz
PO-RALG
Postal Address: 1923
Telephone: +255 26 232 1 234
Mobile: +255 735160210
Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.