• Contact us |
    • FAQ |
    • Opinions |
Health System Strengthening Resource Center

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Health System Strengthening Resource Center

  • Home
  • About Us
    • Background
    • Mission & Vission
    • Objective
    • Roles & Function
    • HSSRC Team
  • Administration
  • Services
    • Training
    • Research & Consultancy
    • eLibrary
  • Publications
    • Guidelines
      • Health Financing
      • Information Managment
      • Service Delivery
        • Curative
        • Preventive
        • Medicine logistics
        • Infrastructure
        • Social Welfare
        • Nutrition
      • Medical Products,Vaccines & Technology
      • Leadership / Governance
      • Human Resources
    • Reports
      • National Survey Reports
      • Financial & Audit Reports
      • Health Sector Reports
      • International Reports
    • Circulars
    • Polices
    • Presentations
    • Journal articles
    • Acts and Regulations
      • Health Related Acts
      • Non Health Related Acts
  • Media Center
    • News
    • Announcements
    • Gallery
    • Videos
  • Take Actions
    • Financing
    • Service Delivery
    • Human Resouces
    • Leadership / Governance
    • Infrastructure
    • Information Managment
    • Medical Products,vaccine & Technology
  • Submit Innovation
  • Conferences
    • Annual Medical Meetings

Simamieni matumizi ya fedha za miradi-Dkt Grace

Posted on: February 24th, 2023

OR-TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe amehimiza watendaji kwenye mamlaka za serikali za mitaa kusimamia matumizi sahihi ya fedha za miradi ya maendeleo katika katika maeneo yao ya kazi.

Dkt. Mgembe ameyasema hayo leo Februari 24, 2023 wakati wa kufungua kikao kazi cha kutathmini utolewaji wa huduma za VVU na UKIMWI katika vituo vya kutolea huduma za afya katika mikoa na halmashauri kinachofanyika jijini Dodoma.

Kikao hicho kimewakutamisha waganga wakuu wa mikoa, waratibu wa kudhibiti UKIMWI wa mikoa, waratibu wa fedha wa mikoa na waratibu wasimamizi wa mifumo na takwimu za afya wa mikoa.

Alisema ili kutekeleza miradi ya maendeleo kwa ufanisi suala la usimamizi wa fedha ni jambo ambalo linapaswa kutiliwa mkazo na watendaji wote.

Aidha, Dkt. Magembe amehimiza watendaji hao kusimamia kufatilia na kukamilisha kwa wakati wa miradi inayofadhiriwa na wadau wa maendeleo na kuagiza kuwa ifikapo mwisho wa mwezi Machi mwaka huu miradi yote iwe imekamilika.

Pia amewataka watendaji hao kuhakikisha wanapunguza na kumaliza hoja za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).


Announcements

  • Call for applications for the TDR Postgraduate Training Scholarship in Implementation Science for the 2022 Academic Year (starting January 2022) May 16, 2021
  • Free Online IMF-Public Financial Management Course May 18, 2021
  • ARISE-PP Grants: Call for Expressions of Interest June 25, 2021
  • APPLICATION FOR THE SWEEDEN 2021 SCHOLARSHIP PROGRAM IS OUT. July 12, 2021
  • View All

Latest News

  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA HOSPITALI YA WILAYA ARUSHA, UPOTEVU WA MAPATO NA DAWA

    March 08, 2023
  • SERIKALI KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA TARAFA ZOTE

    March 02, 2023
  • TAFITI KUFANYIKA KUHUSU LISHE DUNI KWA WATOTO

    February 28, 2023
  • View All

Video

Hospitali ya Uhuru Dodoma
More Videos

Quick Links

  • elearning.moh.go.tz
  • About Us

Related Links

  • Line ministry
  • Regions
  • Councils
  • Development partners
  • Institutions & Agences
  • Development Partners Group Tanzania (DPG)

World visitors tracker

world map hits counter

Contact us

    PO-RALG

    Postal Address: 1923

    Telephone: +255 26 232 1 234

    Mobile: +255 785 144 377

    Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Writingmasterthesis.com

    • FAQ
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.