Washiriki wa kikao kazi cha uboreshaji wa mahudhui ya tovuti ya upatikanaji wa taarifa katika Sekta ya Afya( Health System Strengthening Resource Centre - HSSRC) wakiendelea na kikao hicho Jijini Dodoma tarehe 2 Novemba, 2022
Mratibu wa HSSRC DKt. James Kengia amesema kikao hicho chenye lengo la kupitia na kuboresha mahudhui ya tovuti ili upatikanaji wa taarifa katika sekta ya afya ziwe rahisi kwa wananchi na wadau kwa kuzifahamu na kujifunza kazi mbalimbali zinatotekelezwa na Serikali.
PO-RALG
Postal Address: 1923
Telephone: +255 26 232 1 234
Mobile: +255 735160210
Email: james.tumaini@tamisemi.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.